Ukiona simu yako haipokei SMS, jaribu hizi hatua kwa mpangilio:
Kwanza, angalia kama kuna mtandao wa kawaida wa simu. Kama signal ni dhaifu au haipo, SMS haziwezi kuingia vizuri. Washa na uzime airplane mode, kisha ujaribu tena.
Kisha, restart simu. Mara nyingi hii hurekebisha tatizo la muda...
airtel sms center number tanzania
halotel sms center number tanzania
messagehazionekani
simu yangu haipokei sms
sms hazitoki
tigo sms center number
vodacom sms center number tanzania