Fastjet hawapo poa

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau,


Nimefika Airport hapa Mwalimu Julius, ilikua dakika 40 before boarding. But huwezi amini nimekataliwa kupanda ndege, naambiwa nimechelewa na kufanya re-schedule hawa jamaa wapo very expensive.


Dah sina hamu safari yangu ya Mwanza imebidi ni cancel.


 
 
Back
Top Bottom