Gonorea and Kaswende

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Hello JF


Kuna magojwa ambayo ni vyema kujua na si vyema kuyapata... Na ni vyema kujua namna ya kujikinga nayo... Magojwa taja hapo juu ni yapo na yanatibika.


Ingawa watu wanaona aibu kwenda kuyatibu ndiyo maana wakati mwingine huwapa watu wenye ujasiri ruhusu ya kwenda kuuliza sehemu kama hii JF.


Swali Ukiugua magojwa haya kwa pamoja.... Effect zake baada ya kukaa nao ugojwa kwa muda wa wiki mbili bila matibabu au kukaa muda mrefu bila matibabu ni nini? Hasa kama unakuwa husikii maumivu lakini usaa unaona mara moja kwa siku...?


 
 
Back
Top Bottom