Kodi ya Matangazo (mabango) ikoje

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jamani me nauliza kodi ya kuweka bango la biashara juu ya paa la nyumba ni kiasi gani? Me nina bango langu ambalo dogo kiasi, sasa wamekuja wale watu wa jiji wananiambia natakiwa kulipia 250, 000 hiyo ni pamoja na fine! Je kwani haya mabango juu ya nyumba ni kiasi gani kwa mwaka na hiyo penalty unalipaje?


 
 
Back
Top Bottom