Kumbukumbu ya watoto wa mujini waliotutangulia! Unamuongeza nani?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jamani kama mdau wa zamani natoa heshima.. Kwa kaka Michu.. HILI chapisho lipo pale kwake nimeona nililete hapa seating room.... Samahani kama nimewakwaza... Lakini hiyo list imenikumbusha mbali sana waakati tunakula raha kuanzia Rungwe club, pink coco, Tazara, iMASCO, mbowe club, Legion, gymkhana, Langata, Wale wa Lango la jiji, resort club-safari sound, makondeko.. Jamani ni watu waliokuwa na roho nzuri sana..... Iwe kwenye starehe, michezo au mambo ya kijamii.....


Ni wazi hapa tutapenda pia watu Kama FMES wachangie.. Kwani wanaweza kuongezea hii list kama kuna walio sahaulika... Au if we can share some of the moments za hawa washkaji kama kuwaenzi!


Kumbu kumbu itakuwa tarehe 11/12 PALE LEADERS CLUB!!!

RIP

http://issamichuzi.blogspot.com/2010/12/kumbukumbu-kwa-marehemu-marafiki.html#comments


 
 
Back
Top Bottom