Kwa anayeifahamu VW BORA

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kwa yoyote ambae amewahi kuitumia hii gari, naomba anijulishe ubora wake, ulaji wa mafuta pia je mafundi wa Tanzania wanaweza kuzitengeneza hizi gari nimetokea kuzipenda sana, kuhusu spare nimefanya utafiti ughaibuni zinapatikana kwa bei nafuu.


Naomba mawazo yenu


 
 
Back
Top Bottom