Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
#Diamond na Ali Kiba: Almost every body know about them


1. Sugu (Joseph Mbilinyi) - Mkinga

2. Professor Jay (Joseph Haule) - Mngoni

3. Lady Jay Dee (Judith Wambura Mbibo) - Mkurya

4. Inspector Haroun - Msukuma/ Mzaramo (Baba ake na Haruna marehemu Mzee Rashid Juma Kahena alilowea uzaramuni " Kisarawe vijijini" miaka ya sitini, akaoa Mzaramo (mama Zena/ mama ake Haruna) then baadae akahamia Kisarawe mjini then Temeke. Kwa miaka yote aliyo kaa uzaramuni Mzee huyu alijikuta akiwa ame integrate kwenye uzaramuni.


5. Luteni Kalama (Kalama Bakar) - Mzaramo.

6. Juma Nature (Juma Kassim Kiroboto) - Mzaramo/ Mngindo.

7. Solo Thang (Msafiri Kondo) - Mzaramo.

8. Tid (Khalid Mohamed) - Mmakonde (but anadai ana asili ya ungazija)

9. Jay Moe (Juma Mohamed Mchopanga).... Mmakonde.

10. Mr. Blue (Heri Sameer) - mama Mzaramo wa Mlandizi Baba Msudani.

11. Chid Beenz (Rashid Abdallah Makwiro) - Baba wa Tanga (probably Mzigua au Mdigo) mama wa Iringa probably Mhehe.

12. Lord Eyes - Baba Mjita mama mchaga.

13. JCB (Jacob Makala) - Msukuma.

14. Wema Sepetu - Mama mtu wa Singida, Baba Mnyamwezi.

15. Hamisa Mobeto - Mnyamwezi.

16. Swebe - Mnyamwezi.

17. Dyna Nyange - Mrangi.

18. Jux - Mmakonde.


Endelea kuiririka na wewe


 
 
Back
Top Bottom