Mid bakery industry

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Salaam wanaJF


Nataman sana kujua gharama za uanzishwaji wa kiwanda kidogo cha kutengeneza mikate. Yapo mambo ya msingi ninayotaka kujua zaid.


Jambo kubwa zaidi ni gharama ya uanzishwaji wake hasa katika mashine. Mf gharama ya mixing, mashine ya kuoka, cutting mashine na mashine nyinginezo kama zipo.


Msaada wenu utanijenga mm na wengine pia.


 
 
Back
Top Bottom