- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habarini ndugu zanguni.
Ninatafuta kampuni/taasisi inayotoa mikopo. Mm ni mfanyakazi wa taasisi binafsi. Nilicho nacho mkononi kama dhamana ni magari mawili. Nilishauriwa kwenda NMB lakini sikupata lolote lenye tija. Tafadhalini naomba mawazo yenu. Naamini.. Problem shared=problem solved.
(Inaelekea niliipost kwenye wrong forum, hapa labda nimepatia)