Msaada: Kuagiza nguo online toka China kupitia Alibaba

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nina mpango wa kuagiza nguo za wanawake toka China online kupitia ALIBABA mwezi November, Ninataka kuanza kuagiza pieces 200 kwanza, Ninaomba mnipe uzoefu wenu na ushauri kwa ujumla juu ya mambo yafuatayo


1. Gharama za kusafirisha 200 pieces


2. Clearing agencies wanaoaminika kama nikitumia meli


3. Kodi ya TRA inakuwaje


4. Ninaweza kupata faida nikianza na pieces 200? Au mpaka niagize container zima?


5. Je nikitumia DHL nitapata faida?


Ninaomba michango yenu, mawazo na ushauri nashukuru


 
 
Back
Top Bottom