MSAADA: Kupata friji ya Pepsi/Coca

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kama niivyokuja mwanzoni wadau wangu wa JF, naomba msaada wa urahisi

Jinsi ya upata friji ya vinywaji aina ya pepsi na coca.

NB eneo la biashara ninalo na linafanya kazi kwa kutumia friji yangu binafsi.

Shukrani.


 
 
Back
Top Bottom