- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habari za leo wadau,
Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo:
Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10.
Mimi siyo mtu wa biashara na pia kazi nayofanya hainipi muda wa kufanya biashara.
Nimewaza nichukua huu mkopo (100M) then niwekeze kwenye hati fungani za muda mrefu(15 years - 13.5% au 20 years - 15.49%, source: BOT)
Then hela nayopata kwenye hati fungani niitumie kurejesha mkopo wangu ambao utakuwa wa miaka 6. Kwa maana hiyo mambo mengine yataendelea kama kawaida.
Ni wazo nimeliwaza sijui wanajukwaa mnalionaje, ushauri wowote unakaribishwa.
Asante