Proper Cribs (tusiogope kuitwa mafisadi)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Sometimes mwaka jana Rev Kishoka alitoa mchoro wa nyumba anayotaka kujenga Bongo akaambiwa keshachakachua na ni fisadi.


I care less alikotoa pesa maana inawezekana huko nje alipata mkopo au aliinvest akapata pesa sasa nichosema hapa kuwa kuhusu michoro considering mwenyewe yuko nje ya nchi simlaumu kuwa anataka nyumba kama anayoishi huko na pili inawezekana ikawa nyumba ni zuri zaidi na tatu ukiangalia the so called mahekalu yaliyojengwa Tanzania ni nyumba chache sana unaweza kusema zina hadhi japo pesa utaona zimetumika nyingi lakini nyumba bado ni mbaya.....


Hivi how hard kwa hao the so called wenye pesa kujenga nyumba kama hiii Tanzania?


BTW hii iko ABUJA kule NIGERIA


http://abujahouses.com/abuja-beauty/


Mimi ningependa watu tuwe open to new Ideas badala ya kumshuku kila mwenye kizuri ni fisadi.


 
 
Back
Top Bottom