TALA wala rungu la TRA

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Niliona katika habari ya Channel10 jioni hii, wamepewa makosa matano.


TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60, 260, 000, na kosa la mwisho ni uhujumu uchumi.


Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi.


Sent using Jamii Forums mobile app


 
 
Back
Top Bottom