Biashara ya vifaa vya simu kutoka Dubai/China

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari zenu na poleni na majukumu wadau wa hili jukwaa, me naomba mawazo yenu juu ya hii biashara kuna jamaa zangu wapo nje (dubai na china) sasa wamenishauri niwe nashirikiana nao wawe wananitumia vifaa kama vile battery, memory card, flash na charger halafu mm niwe nasupply kwa jumla mikoani sasa kabla sijafanya maamuzi yeyote nmeona nilete apa jukwaani hili nipate mawazo yenu kuhusiana na kila kitu kwenye hii biashara, shukrani.


 
 
Back
Top Bottom