Niulize chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe


Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa imara zaidi ya jana.


Ok

Tuingie kwenye mada moja kwa moja


Pengine ulishatamani sana kufanya biashara ya viatu ila haujui uanzie wapi.


USIJALI


Leo nitakupa A B C kuhusu hii biashara changamoto zake faida zake na mengineo mengi natumaini utafurahi na kujua mengi kuhusu biashara ya viatu.


Karibu kwa maswali nitakujibu hapa hapa


 
 
Back
Top Bottom