Bwawa la kufugia Samaki

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Poleni kwa kazi wanajamvi,


Nataka kuingia katika ufugaji wa samaki, nipo katika hatua ya kutengeneza business plan. Moja kati ya vitu ninavyohitaji kuvifahamu ni gharama ya vitu vifuatavyo;


1. Gharama ya ujenzi wa bwawa katika ukanda huu wa pwani hususani mkuranga (including uchimbaji). Ukubwa wa bwawa 30 X 20 meters i. E. 600 square meters

2. Gharama ya vifaranga vya samaki (Sato)

3. Gharama za uchimbaji wa Kisima cha mita 100


Tafadhali kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hayo matatu tafadhali naomba anijuze


Wenu katika Maendeleo


Tougher


 
 
Back
Top Bottom