Ciproflaxin ya India inatibu Typhoid vizuri kweli???!!!! Mbona dalili ni zile zile

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wiki 2 zilizopita mke wangu alimaliza dozi ya ciprofaxin za India.


Sasa nashangaa anaumwa tena, dalili zile zile.


Naomba msaada wa dawa zipi efective za kutibu typhoid.


Je, baada ya kumeza dawa za typhoid, inatakiwa muda gani upite ndo mtu ameze tena??


 
 
Back
Top Bottom