Dhahabu yafoka Nanyumbu Mtwara

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mtwara kumebarikiwa kwa kweli hakika MUNGU ni mwema.

Mfumuko mkubwa wa madini ya dhahabu umegunduliwa katika kijiji cha LUKWIKA wilayani NANYUMBU MKOANI MTWARA.

Taarifa hiyo imetolewa na kamishina wa madini mkoani mtwara ndg. Aloyce Tesha mbele ya waandishi wa habari.

Hazina hyo kubwa ya dhahabu iligunduliwa wiki mbili zilizopita na tayari wachimbaji na pamoja na watoa huduma wako eneo hilo.

Haya sasa upele umeota tena na sisi ndiyo wale tusio na kucha tuwaite tena Barick wakafanye mahandaki. Tusifanye makosa tena tupate faida siyo hasara tena.


 
 
Back
Top Bottom