DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kifushi cha 100000, 80000 na 60000 kwa Watanzania Wa leo ni ghali sana kwao kununua majumbani mwao. Iko siku soko la Tanzania litawawia gumu. Wengi wanaonunua dstv ni kwa ajili ya EPL basi ambayo lazima wawe na kifurushi kisichopungua sh.80000+


 
 
Back
Top Bottom