Naombeni Msaada wenu kuhusu bei ya Unit ya Maji

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kaka yangu mwanakijiji na wanajf wengine, naombeni mnisaidie kupata bei ya maji safi kwa unit moja zinazotozwa na mamlaka za maji za mikoa yote ya tz. Najua ni kazi ngumu kaka lakn nisaidie. Nazihitaji data hizo ili niweze kulinganisha na mkoa wetu wa shy. SHUWASA wamepandisha bei kwa takrban 90%, wananchi tunapinga. Data hizo zitasaidia ktk kuwasilisha malalamiko yetu kwa ngazi zinazohusika kabla ya kuwahamasisha watu wachukue hatua ya kupinga unyonyaji huu. Mods naomba msiitoe thread yangu hadi ntakapopata majibu. Nisaidie.


 
 
Back
Top Bottom