- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Mi ni kijana umri miaka 23 nina aidia ya kufungua duka la vyakula rejareja maeneo ya Kigambon ila sina uzoefu na biashara na nikiazio kipi cha mkwanja wa kuazia hadi sasa nina 60, 0000.
NAOMBA MSAADA KWA WENYE UZOEFU NA BIASHARA.
NAOMBA MSAADA KWA WENYE UZOEFU NA BIASHARA.