- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Nimeskia unaumwa and now uko hsp unacheki afya, pole sana jamani kama ni malaria, tumbo la ku kuhara, kichwa au chochote basi kishindwe na upate kuwa mzima tena na tena ili urudi jamvini, Get well figher!: A S thumbs_up: