- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habari za jioni wakuuu, mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa kutosha anayejua anijuze