Haya kwa wale wa zilipendwa nani zaidi hapo?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Leo nataka nifahamu nani zaidi kati ya HASSANI REHANI BITCHUKA VS TX MOSHI WILLIAM(R. I. P), kwa enzi za uhai wa TX MOSHI WILLIAM maana walikua ni washindani(Competitors) Hawa. Naomba U msondo na U sikinde tuuweke pembeni ila tuangalie uwezo hapa. Haya karibuni wakereketwa


 
 
Back
Top Bottom