Jokate: Kuachana na Hasheem Thabeet kilikuwa ni kitu kibaya zaidi kutokea kwangu

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Hasheem Thabeet kwa mujibu wa Jokate

Mwegelo, alikuwa ni ‘first love’ na huenda

Kuachana naye kilikuwa ni kitu kibaya zaidi

Kuwahi kutokea katika maisha yake.


Mrembo huyo alikuwa akijibu swali la

PapiChulo_Chuly kwenye Twitter aliyeuliza, “Ni

Tukio gani baya huwezi sahau maishani?”

“Kumwacha mtu ambaye nilikuwa nishapanga

Vitu vingi sana nae kichwani. Very very

Disappointing but it’s life,” alijibu Jokate.


October 2013, kwenye jarida la Vibetz,

Alifunguka kuwa japo uhusiano wake na

Hasheem ulidumu kwa miaka mitatu,

Walifanikiwa kuufanya usijulikane sana kwa

Wengi na walikuwa wakipendana sana.


“With Hasheem, I think it was more than love.

He was my first real love,” aliliambia jarida hilo.

“Siku zote nilidhani he was my soulmate.

Kiukweli nilimpenda sana. He is like the only guy

I would drop anything at anytime for.


Nilikuwa tayari kufanya lolote kwa ajili yake, that’s how

Deep I loved that guy,” aliongeza.

“Nilimpenda kiukweli Hasheem, and yes kama

Mwanamke mwenye kutaka kufanikiwa I’m

Drawn to ambitious/successful men, you know

The go getters but my family haikunilea katika

Maadili ya kujenga mahusiano yoyote katika

Mhimili wa fedha,”


Jokate alieleza kujibu swali

Kama aliamua kuwa na Hasheem kwa sababu ya

Fedha zake. “I had never wanted to use

Hasheem, all I wanted was to love him.”

Jokate alidai kuishi mbali na Hasheem ni moja

Ya sababu iliyochangia kuvunjika kwa uhusiano

Wao.


“Yes kuishi mbalimbali pia inaweza kuwa sababu

Japo ndogo iliyochangia kuvunjika mahusiano

Yetu cause sometimes I would hear a lot of stuff

And that would upset me. Nilikuwa naogopa

Sana kumpoteza, I ended up doing vitu vya

Kijinga kama dating Diamond.


I had issues with Hasheem na Diamond came in picture. It was a

Very frustrating time for me. I was super

Confused. I cried for a whole year. Like every

Night I would just cry like crazy.”

Kwa sasa Jokate ana uhusiano na Alikiba.


 
 
Back
Top Bottom