Hesabu za matipper ya Mchanga

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau naomba msaada wenu kidogo kwenye hii biashara ya malori ya kubeba mchanga na kokoto, hesabu kwa siku kwa lorry la tonne 7, 18 na 32 ni kiasi gani? Katika hayo yapi yana demand sana?


Natanguliza shukrani


 
 
Back
Top Bottom