Irene Uwoya afunguka kutoka na Diamond, Harmo Rapa na Dogo janja

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Uwoya amedai hajawahikuachana na mumewe Ndikumana ila hawapo pamoja kwa sababu ya mwanaume huyo yupo busy na kazi

Pia amesema hamjui Harmo rapa zaidi ya kumsikia mitandaoni na watu wamekuwa wakimuuhusisha nae baada ya kusema anapenda wanaume wenye sura mbaya

Amesema pia hatoki na dogo janja kama anavyodaiwa na anamuona kama mwanae wa kumzaa sababu ni mdogo sana

Hajawahi kutoka kabisa na Diamond


 
 
Back
Top Bottom