Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kwakweli Jana nilijawa na furaha tele baada ya hapa Arusha kukutana na Graduate alie somea mambo ys IT anachoma mahindi.


Niliongea naye kwa kifupi sana ingawa nime mpromise kumtafuta tuongee zaidi.

Jamaa kaamua kuweka vyeti pembeni ni baada ya kutuma application nyingi bila mafanikio.


Kaamua kuondoa uoga na aibu na kwa sasa anapata mafanikio na nina amini hata Mungu yuko upande wake. Mungu huwa hayuko upande wa watu wenye aibu na waoga. Jamaa anakusanya mtaji hivyo kwa alicho somea si kwamba kaacha bali kuchoma mahindi ni kukusanya mtaji wa yeye kufanya mambo makubwa zaidi.


AIBU NA UOGA NDO MUHIMILI MKUU WA KUTO FANIKIWA.


Sent using Jamii Forums mobile app


 
 
Back
Top Bottom