Kansa ya koo

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Je ni kweli kuwa mwanaume anayelamba sehemu za siri za mwenzi wake ana hatari kubwa ya kupata cancer ya koo? Kama ni kweli kuna namna yeyote mtu anaweza kucheki kama ameshaanza kupata hiyo athari na namna ya kupunguza makali yake?


 
 
Back
Top Bottom