Kikao cha JE Saccos

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Tunapenda kuwafahamisha wanachama wote wa JE SACCOS kuwa tutakuwa na kikao JUMAMOSI hii ya tarehe 1-10-2011 kitakachofanyika MEXICO PUB iliyoko barabara ya Kawawa Kinondoni Manyanya opposite na PETROL STATION YA MWANAMBOKA kuanzia saa 9 mchana na kuendelea tunaombwa wote kufika bila kukosa hasa kwa wanachama wa JE SACCOS waliopo Dar es Salaam.


Dhumuni la kikao ni kufanya tathmini ya tulipofikia na kujadili rasimu ya masharti ya JE SACCOS tunaomba wanachama wote tujitahidi kufika bila kukosa.


Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo


0715 887912

0757 212122

0787 212122



Asanteni.


 
 
Back
Top Bottom