Kupanda Bei kwa Bidhaa za Azam Kusababisha Maandamano kama ya Misri?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Bei za bidhaa za Azam kama maji, unga na ngano zimepaaa!

Ukizingatia Azam ni mzalishaji mkubwa wa vyakula na vinywaji laini hapa nchini, kupanda kwa bidhaa zake kutaathiri sana maisha ya walala hoi.

Je, hii inaweza kuwachukiza wananchi kiasi cha kuanzisha maandamano dhidi ya kupanda kwa gharama za maisha kama ilivotokea Misri au Algeria?


 
 
Back
Top Bottom