Kuwashwa uume baada kufanya mapenzi bila Condom

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Aisee nisaidieni hili tatizo tangu majuzi nasikia uume unawasha washa si kawaida...... Nina kawaida ya kufanya mapenzi bila condom kwa shori wangu namuamini sana ndiyo maana nimejilipua.... Ila tangu jana nasikia muwasho hivi aiseeesuala la kwamba shori ana maambukizo siyo la kweli... Kamepima maajuzi vitu vyoote


Tatizo ni nini au hivi vyoo vyetu vya uswahilini?? Maana ukienda kujisaidia unajikuta uume kama ni mrefu sometime unagusa sink..... JF Dr nitumie dawa gani?


 
 
Back
Top Bottom