- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Hii hali ya mtoto mchanga kuzaliwa na hatimaye kichwa kuendelea kuwa kikubwa inasababishwa na nini? Siku hizi nimekuwa nikishuhudia ongezeko kubwa la watoto wa jinsi hii na hata ukitembelea hospitali mbalimbali hapa Dar utashuhudia akina mama wakiwa na watoto hao. Je hii hali inaweza kumpata mtu ukubwani?