Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall, Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company, nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana, vijana wamebaki kusubiria ajira.


Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.


Tusaidiane mawazo


 
 
Back
Top Bottom