Wheelchairs ntazipata wapi dar?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wana JF natafuta wheelchairs kwa ajili ya mzee wangu.(kwa matumizi ya nyumbani).. Kama kuna mtu anaweza kujua wapi zinauzwa na bei zake.. Anaweza kuweka hiyo duka ntawatemblea very soon.. Natanguliza shukrani.. Nimetafuta kwa muda hapa dar sijaona..


 
 
Back
Top Bottom