Mapenzi! (?)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
... Hakuna utamu maskioni kama siku ya siku mbele ya kaasisi, shekhe, au msajili bomani unapotamka/tamkiwa maneno haya;...


... Iweje siku ya siku unashindwa uvumilivu?, unaporomosha matusi, kejeli, na mangumi kwa huyo huyo laaziz wako kudaiana talaka, kunyang'anyana mali, watoto na hata wengine kuuana?


Mapenzi ni nini, au ni neno linalokuzwa tu bila watu kujua maana yake?


... Au ndiyo kama Brand?, 'tangible product'?, watu wanafuata mkumbo tu (i. E ...'na mimi pia napenda')?...


 
 
Back
Top Bottom