P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sep 6, 2026 #1 Wadau naombeni msaada kwa yeyote anayejua zinapouzwa mashine za kukata aluminium na bei zake tafadhali anijulishe. Nahitaji kuipeleka mkoani. Msaada tafadhali.
Wadau naombeni msaada kwa yeyote anayejua zinapouzwa mashine za kukata aluminium na bei zake tafadhali anijulishe. Nahitaji kuipeleka mkoani. Msaada tafadhali.