Microfinance nzuri ya ukopeshaji

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ndugu zangu habari


Nahitaji mkopo wa 5million wa haraka ni micro ipi ipo vizuri kwenye masuala ya mikopo Ya haraka na haina janja janja?? Na riba zake kidogo ni nafuu??


Naombeni mawazo yenu kidogo. Ahsanteni


 
 
Back
Top Bottom