Msaada: Gharama za kujenga ukuta(fence) na designs zake nzuri

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakuu,

Katika pekuapekua zangu kwenye thread za ujenzi sijakutana na moja yenye kuelezea jambo la muhimu kama ulinzi wa nyumba hasa fence.

Hapa ningependa tupeane mawazo na hata ikibidi picha za fence za kuta nzuri na imara ambazo pia ziko unique.


Bianfsi hiki kitu kinaniumiza kichwa sana. Nataka kitu unique na chenye mvuto.

Karibuni


 
 
Back
Top Bottom