Msaada! Jinsi ya kupokea malipo kupitia Paypal

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kwa wale wenye experience na online business naomba mnisaidie ni jinsi gani nitaweza kupokea malipo kupitia Paypal.

Kuna threads zilikuwa zikiongelea payoneer kuwa mbadala wa Paypal lakini baada ya kupata ATM card ya Payoneer nimekuta nivitu viwili tofauti.

Nafikilia kufungua account Kenya (wao unaweza kutuma na kupokea malipo kupitia Paypal) lakini requirements ningumu kidogo:

Washirika wangu wana option mbili tu Bank transfer na Paypal, na nimeambiwa ukitumia normal bank transfer malipo yanaweza kukufikia baada ya siku 30.


Thank you!


 
 
Back
Top Bottom