Msaada: kutoka majimaji

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nimekuwa natoka na majimaji ukeni, nilijaribu ku google nikaona wanasema kwa mwanamke hiyo ni kawaida kama hayana harufu mbaya.


Yangu hayana harufu ila napenda kufahamu hiyo kawaida ni mara ngapi kwa siku, maana mi ni kila siku mara tatu hadi nne.


Naogopa isije ikawa kuna tatizo, kwani siku za nyuma nilikuwa siioni hii hali sana kama sasa.


 
 
Back
Top Bottom