Msaada wa maradhi ya "allergy"

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
MADAKTARI WA JF.

ASALAAM ALEIK, NA BWANA YESU ASIFIWE SANA.


Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la ALLERGY kwa miaka mingi sasa, ninachojua mimi ni kuwa nina maradhi hayo, hasa sitakiwi kugusa House dust, mwili huvimba utafikiri nimegusa upupu, au nimewashwa na mdudu washa washa. Hii hutokea hasa usiku niamkapo hujikuta mwili umevimbavimba, naomba kujua hii hutokea kwa sababu zipi? Pili, je nitumie dawa gani? Au nifanyeje ili kuepuka adha hii?.

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU


 
 
Back
Top Bottom