Msaada tafadhali: How to use my little cash

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mimi ni msichana niliyemaliza chuo mwaka jana mpaka nau sijaajilwa nafany tempo tu... Sasa nimepta hapa shilingi laki tano natak hii hela izae.... Yaani nataka nifanye biashara ya mtaji huu jamni sasa i do not know where to start nafikiria sana lakini naona kila biashara ina mtaji mkubwa naombeni mnishauri nifanyeje jamani ili hizi lakitano zangu zitoe faida... Tafadhali tafadhali nsaidie niko tayari kufanya chochote cha halali......


 
 
Back
Top Bottom