Naomba kujua gharama za kuanzisha kituo cha Tv

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau,


Naomba mtu anayefahamu kiundani gharama za kuanzisha kituo cha Tv anifafanulie.

Kikubwa gharama za kununulia mitambo au jinsi ya kupata chanel kwenye vin'gamuzi ambavyo tayari vipo kama Ting, Star times, Azam.


 
 
Back
Top Bottom