Naomba kufahamu kuhusu biashara ya kuuza uji wa ulezi "lishe"

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kwa wale waliowahi kufanya hii biashara naombeni kujua ni jinsi gani wameweza kupanua wigo wao na njia gani walitumia


Kikubwa natamani sana kufahamu jinsi walivyofanikiwa since nimetokea kutamani sana kufanya lakini sijaona njia sahihi ya kwanza ili nisile loss ya muda na nguvu.


Nafikiria kutumia supermarkets mbalimbali.

Nafikiria kutumia maduka

Nafikiria kutumia instergram faceboo!

Nafikiria kutumia watu kusambaza being paid commission


Naombeni msaada..


Nataka kujua jinsi ya kufungua website na gharama yake naombeni msaada pia. PM


Karibuni.


 
 
Back
Top Bottom