- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wakuu,
Nilipokuwa likizo nilifurahia sana burdani ya muziki wa bendi. Sasa nafikiria kuanzisha yangu kama uwekezaji fulani. Nkaraibisha maoni yenu kama hii bizinesi ni ya ukweli au la. Pia naomba ushauri wa kitaalamu kuhusu vyombo, ufundi na usimamizi wake.
Shukran Awal....