Nina mtaji wa Tsh. 2, 000, 000 nataka kufungua biashara ya nywele bandia

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari ndugu zangu nina mtaji wa milion mbili nataka kufungua biashara ya nywele bandia nikimaanisha wiving, rasta, mawigi na vitu vidogo vidogo vya urembo wa akina dada kama mikufu, hereni, bangili nk.


Naomba mwenye uzoefu na hii biashara anisaidie kunifahamisha changamoto na faida ya hii biashara na mzigo naweza kuchukulia wapi kwa bei ya jumla, na je kwa huu mtaji wangu unatosha.


 
 
Back
Top Bottom