Nawezaje kutimiza ndoto yangu ya kuwa tajiri number moja duniani?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nimepitia mambo mengi katika umri wangu mdogo ila kitu ninachoshindwa kukiacha maishani ni kuhusiana na ndoto yangu ya kuwa Tajiri namba moja duniani ingawaje ni mtanzania mwenye kipato cha kawaida ila mwenye malengo mengi ninayokazania yatimie, JE NAWEZAJE KUTIMIZA NDOTO YANGU YA KUWA TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI AU KUONDOA KABISA MAWAZO HAYA KWA SASA AMBAYO YAPO TOKA UMRI WANGU WA UDOGO.


Nipeni Tumaini wana jamvi la uchumi.



 
 
Back
Top Bottom