Njia ya kuingiza bidhaa toka China kuagiza bila kwenda

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nataka Sana Kuagiza Vifaa Fulani Vya Usafi(WHOLESALE PRICE) Toka Chaina

Kuna Kampun Ilijitangaza Hapa Kuwa Inasaidia Wafanya Biashara Wadogo Kuagiza Bidhaa Kwa Bei Ya Kiwandani, Nimeongea Nao Wanasema Wanasupply Vifaa Vya Umeme Tu.. Na Si Vinginevyo!

Sasa Wakuu Kama Kuna Kampuni Itakayokamilisha Lengo Langu

Naomba Msaada

Pia Kama Una Ushauri Wa Njia Mbadala Unaweza Kunisaidia!!

Ahsante Sana!!


 
 
Back
Top Bottom